Faida za asali kiafya ikichanganywa na mdalasini
Zifuatazo ni baadhi ya faida zitokanazo na matumizi ya asali na mdalasini. 1. kukatika kwa nywele _asali ikichanganywa na mdalasini huweza kutibu tatizo la kukatika kwa nywele. _chakufanya,chukua asali mbichi vijiko viwili vya chakula kisha chukua kijiko kimoja cha mdalasini,changanya na mafuta ya olive yakiwa vuguvugu sugua kichwani kisha uache kama dakika 15 hadi 16 fanya hivyo kwa wiki utaon mabadiliko. 2. ugonjwa wa viungo asali pamoja na maji ya vuguvug na kijiko kimoja cha mdalasini cha chai pamoja kijiko kimoja cha asali.tumia asubuhi na jioni.unafuu hupatikana ndani ya sekunde 30 unapoitumia.